Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Kisha alimuaga Yuda kwa makini akaenda Tolemaisi, akimwacha Hegemonide juu ya nchi yote toka Tolemaisi hata Gerari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 na akampokea Yuda Makabayo kwa heshima. Baada ya hapo, mfalme akamteua Hegemonide awe mkuu wa nchi yote kati ya miji ya Tolemai na Gerari, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 na akampokea Yuda Makabayo kwa heshima. Baada ya hapo, mfalme akamteua Hegemonide awe mkuu wa nchi yote kati ya miji ya Tolemai na Gerari, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Kisha alimuaga Yuda kwa makini akaenda Tolemaisi, akimwacha Hegemonide juu ya nchi yote toka Tolemaisi hata Gerari. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA24 na akampokea Yuda Makabayo kwa heshima. Baada ya hapo, mfalme akamteua Hegemonide awe mkuu wa nchi yote kati ya miji ya Tolemai na Gerari, Tazama sura |