Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 13:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Akasikia ya kuwa Filipo, aliyeachwa juu ya mambo ya Antiokia, ameasi; habari hiyo ilimtatanisha, akafanya mapatano na Wayahudi, akiyakubali kwa uapo masharti yao ya haki; akiyathibitisha mapatano na kutoa dhabihu. Alilistahi hekalu na mahali patakatifu, na kuonesha mwenendo mwema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Wakati huo, mfalme Antioko alipata habari kwamba Filipo ambaye alikuwa ameachwa Antiokia kama mkuu wa serikali, alikuwa ameasi. Mfalme alighadhibika akaanzisha mazungumzo ya amani na Wayahudi, akayakubali masharti yao, na kuahidi kwa kiapo kuwatendea kwa haki Wayahudi, akatoa tambiko, akaonesha heshima kwa hekalu kwa kutoa zawadi kwa ukarimu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Wakati huo, mfalme Antioko alipata habari kwamba Filipo ambaye alikuwa ameachwa Antiokia kama mkuu wa serikali, alikuwa ameasi. Mfalme alighadhibika akaanzisha mazungumzo ya amani na Wayahudi, akayakubali masharti yao, na kuahidi kwa kiapo kuwatendea kwa haki Wayahudi, akatoa tambiko, akaonesha heshima kwa hekalu kwa kutoa zawadi kwa ukarimu,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Akasikia ya kuwa Filipo, aliyeachwa juu ya mambo ya Antiokia, ameasi; habari hiyo ilimtatanisha, akafanya mapatano na Wayahudi, akiyakubali kwa uapo masharti yao ya haki; akiyathibitisha mapatano na kutoa dhabihu. Alilistahi hekalu na mahali patakatifu, na kuonesha mwenendo mwema.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

23 Wakati huo, mfalme Antioko alipata habari kwamba Filipo ambaye alikuwa ameachwa Antiokia kama mkuu wa serikali, alikuwa ameasi. Mfalme alighadhibika akaanzisha mazungumzo ya amani na Wayahudi, akayakubali masharti yao, na kuahidi kwa kiapo kuwatendea kwa haki Wayahudi, akatoa tambiko, akaonesha heshima kwa hekalu kwa kutoa zawadi kwa ukarimu,

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 13:23
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo