Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Mfalme akasemezana na watu wa Bethsura tena, akapeana nao yamini, akaondoka. Akalishambulia jeshi la Yuda, akashindwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mfalme akajaribu kwa mara ya pili kufikia maafikiano na watu wa Beth-zuri, na alipofanikiwa, akaondoa askari wake. Halafu akaenda kumshambulia Yuda na watu wake, lakini tena akapigwa na kushindwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Mfalme akajaribu kwa mara ya pili kufikia maafikiano na watu wa Beth-zuri, na alipofanikiwa, akaondoa askari wake. Halafu akaenda kumshambulia Yuda na watu wake, lakini tena akapigwa na kushindwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Mfalme akasemezana na watu wa Bethsura tena, akapeana nao yamini, akaondoka. Akalishambulia jeshi la Yuda, akashindwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA22 Mfalme akajaribu kwa mara ya pili kufikia maafikiano na watu wa Beth-zuri, na alipofanikiwa, akaondoa askari wake. Halafu akaenda kumshambulia Yuda na watu wake, lakini tena akapigwa na kushindwa. Tazama sura |