Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Ila Rodoko, askari wa Kiyahudi, aliwafunulia adui mambo ya siri; akatafutwa akakamatwa na kufungwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Lakini askari mmoja wa Kiyahudi, kwa jina Rodoko, akawafunulia maadui siri fulani. Huyo aligunduliwa, akakamatwa na kutiwa ndani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Lakini askari mmoja wa Kiyahudi, kwa jina Rodoko, akawafunulia maadui siri fulani. Huyo aligunduliwa, akakamatwa na kutiwa ndani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Ila Rodoko, askari wa Kiyahudi, aliwafunulia adui mambo ya siri; akatafutwa akakamatwa na kufungwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA21 Lakini askari mmoja wa Kiyahudi, kwa jina Rodoko, akawafunulia maadui siri fulani. Huyo aligunduliwa, akakamatwa na kutiwa ndani. Tazama sura |