Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Lisia, mtunzaji wake na waziri, alikuwa pamoja naye, na kila mmoja alikuwa na jeshi la Kigiriki la askari elfu mia moja na kumi, wapanda faraasi elfu tano na mia tatu, tembo ishirini na wawili, na magari mia tatu yenye mapanga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 na kwamba Lisia, yule mlinzi wa mfalme na mkuu wa serikali, alikuwa pamoja na huyo Antioko. Kila mmoja wao alikuwa na jeshi la askari Wagiriki wa miguu 110,000, wapandafarasi 10,000, wapandafarasi 5,300, tembo 22, na magari 300 yaliyofungiwa miti yenye ncha kali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 na kwamba Lisia, yule mlinzi wa mfalme na mkuu wa serikali, alikuwa pamoja na huyo Antioko. Kila mmoja wao alikuwa na jeshi la askari Wagiriki wa miguu 110,000, wapandafarasi 10,000, wapandafarasi 5,300, tembo 22, na magari 300 yaliyofungiwa miti yenye ncha kali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Lisia, mtunzaji wake na waziri, alikuwa pamoja naye, na kila mmoja alikuwa na jeshi la Kigiriki la askari elfu mia moja na kumi, wapanda farasi elfu tano na mia tatu, tembo ishirini na wawili, na magari mia tatu yenye mapanga. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 na kwamba Lisia, yule mlinzi wa mfalme na mkuu wa serikali, alikuwa pamoja na huyo Antioko. Kila mmoja wao alikuwa na jeshi la askari Wagiriki wa miguu 110,000, wapandafarasi 10,000, wapandafarasi 5,300, tembo 22, na magari 300 yaliyofungiwa miti yenye ncha kali. Tazama sura |