Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Akaiendea Bethsura, ngome imara ya Wayahudi, akarudishwa nyuma, akaishambulia tena, akashindwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Aliishambulia ngome yao imara ya Beth-zuri, lakini tena na tena alipigwa, na hatimaye akashindwa kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Aliishambulia ngome yao imara ya Beth-zuri, lakini tena na tena alipigwa, na hatimaye akashindwa kabisa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Akaiendea Bethsura, ngome imara ya Wayahudi, akarudishwa nyuma, akaishambulia tena, akashindwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA19 Aliishambulia ngome yao imara ya Beth-zuri, lakini tena na tena alipigwa, na hatimaye akashindwa kabisa. Tazama sura |