Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Hayo yote yalifanyika kwa msaada wa ulinzi wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hayo yalitukia jua lilipokaribia kuchomoza, na yote yaliwezekana kwa kuwa Bwana aliwalinda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hayo yalitukia jua lilipokaribia kuchomoza, na yote yaliwezekana kwa kuwa Bwana aliwalinda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Hayo yote yalifanyika kwa msaada wa ulinzi wa Mungu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA17 Hayo yalitukia jua lilipokaribia kuchomoza, na yote yaliwezekana kwa kuwa Bwana aliwalinda. Tazama sura |