Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Mwishowe, wakiisha jaza kambi woga na fujo, waliondoka salama wakati wa mapambazuko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mwishowe, kila mmoja kambini alijawa na kitisho na woga, naye Yuda na watu wake wakaondoka kwa ushindi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mwishowe, kila mmoja kambini alijawa na kitisho na woga, naye Yuda na watu wake wakaondoka kwa ushindi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Mwishowe, wakiisha jaza kambi woga na fujo, waliondoka salama wakati wa mapambazuko. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 Mwishowe, kila mmoja kambini alijawa na kitisho na woga, naye Yuda na watu wake wakaondoka kwa ushindi. Tazama sura |