Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 na baada ya kuwapa askari wake neno la shime, “Kushinda ni kwa Mungu”, yeye na kundi la vijana wateule, hodari sana, walilishambulia hema la mfalme usiku, wakaua watu wa kambini hata elfu mbili, wakawapiga mkuki tembo mkuu na mpandaji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yuda akawapa watu wake shime hii ya vita: “Ushindi hutoka kwa Mungu.” Basi, usiku ule, akiwa na kikosi maalumu cha vijana hodari kabisa, Yuda akafanya mashambulizi karibu na hema la mfalme na kuwaua watu wasiopungua 2,000. Pia akamchoma mkuki na kumuua tembo kiongozi na mpandaji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yuda akawapa watu wake shime hii ya vita: “Ushindi hutoka kwa Mungu.” Basi, usiku ule, akiwa na kikosi maalumu cha vijana hodari kabisa, Yuda akafanya mashambulizi karibu na hema la mfalme na kuwaua watu wasiopungua 2,000. Pia akamchoma mkuki na kumuua tembo kiongozi na mpandaji wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 na baada ya kuwapa askari wake neno la shime, “Kushinda ni kwa Mungu”, yeye na kundi la vijana wateule, hodari sana, walilishambulia hema la mfalme usiku, wakaua watu wa kambini hata elfu mbili, wakawapiga mkuki tembo mkuu na mpandaji wake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Yuda akawapa watu wake shime hii ya vita: “Ushindi hutoka kwa Mungu.” Basi, usiku ule, akiwa na kikosi maalumu cha vijana hodari kabisa, Yuda akafanya mashambulizi karibu na hema la mfalme na kuwaua watu wasiopungua 2,000. Pia akamchoma mkuki na kumuua tembo kiongozi na mpandaji wake. Tazama sura |