Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Matokeo ya shauri hilo alimwachia Muumba ulimwengu, akawaonya watu wake wapigane kwa ushujaa hata kufa, kwa ajili ya sheria na hekalu na mji na nchi na kawaida zao. Akapiga kambi yake karibu na Modini, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kwa hiyo, akiwa amemwachia uamuzi Mungu Muumba wa ulimwengu, Yuda akawatia moyo watu wake kupiga vita kwa ushujaa, na kuwa tayari kufa kwa ajili ya sheria zao, hekalu, Yerusalemu, nchi yao, na utamaduni wao. Basi akapiga kambi karibu na mji wa Modeini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kwa hiyo, akiwa amemwachia uamuzi Mungu Muumba wa ulimwengu, Yuda akawatia moyo watu wake kupiga vita kwa ushujaa, na kuwa tayari kufa kwa ajili ya sheria zao, hekalu, Yerusalemu, nchi yao, na utamaduni wao. Basi akapiga kambi karibu na mji wa Modeini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Matokeo ya shauri hilo alimwachia Muumba ulimwengu, akawaonya watu wake wapigane kwa ushujaa hata kufa, kwa ajili ya sheria na hekalu na mji na nchi na kawaida zao. Akapiga kambi yake karibu na Modini, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 Kwa hiyo, akiwa amemwachia uamuzi Mungu Muumba wa ulimwengu, Yuda akawatia moyo watu wake kupiga vita kwa ushujaa, na kuwa tayari kufa kwa ajili ya sheria zao, hekalu, Yerusalemu, nchi yao, na utamaduni wao. Basi akapiga kambi karibu na mji wa Modeini. Tazama sura |