Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Baada ya kusema faraghani na wazee, alikata shauri watoke na kupigana wawezavyo kwa msaada wa Mungu kabla mfalme hajawahi kuingiza jeshi lake katika Uyahudi na kuutwaa mji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Baada ya kushauriana faraghani na wazee wa Wayahudi, Yuda akaamua kutoka na kwenda kumkabili mfalme kwa msaada wa Mungu, kabla ya Antioko kuivamia Yudea na kuuteka mji wa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Baada ya kushauriana faraghani na wazee wa Wayahudi, Yuda akaamua kutoka na kwenda kumkabili mfalme kwa msaada wa Mungu, kabla ya Antioko kuivamia Yudea na kuuteka mji wa Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Baada ya kusema faraghani na wazee, alikata shauri watoke na kupigana wawezavyo kwa msaada wa Mungu kabla mfalme hajawahi kuingiza jeshi lake katika Uyahudi na kuutwaa mji. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Baada ya kushauriana faraghani na wazee wa Wayahudi, Yuda akaamua kutoka na kwenda kumkabili mfalme kwa msaada wa Mungu, kabla ya Antioko kuivamia Yudea na kuuteka mji wa Yerusalemu. Tazama sura |