Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Basi, kwa moyo mmoja walimwomba BWANA siku tatu bila kukoma, wakianguka kifudifudi na kuomboleza na kulia na kufunga. Ndipo Yuda aliwatia moyo akawaambia wajiweke tayari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kwa siku tatu watu walibaki wamelala kifudifudi vumbini, wakifunga na kulia na kumwomba Bwana mwenye huruma awasaidie. Kisha Yuda akawatia moyo na kuwaamuru wakae tayari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kwa siku tatu watu walibaki wamelala kifudifudi vumbini, wakifunga na kulia na kumwomba Bwana mwenye huruma awasaidie. Kisha Yuda akawatia moyo na kuwaamuru wakae tayari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Basi, kwa moyo mmoja walimwomba BWANA siku tatu bila kukoma, wakianguka kifudifudi na kuomboleza na kulia na kufunga. Ndipo Yuda aliwatia moyo akawaambia wajiweke tayari. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Kwa siku tatu watu walibaki wamelala kifudifudi vumbini, wakifunga na kulia na kumwomba Bwana mwenye huruma awasaidie. Kisha Yuda akawatia moyo na kuwaamuru wakae tayari. Tazama sura |