Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 kama alivyowaokoa wakati mwingine na awaokoe sasa, maana wamo katika hatari ya kunyang'anywa sheria, na nchi yao, na hekalu takatifu; wala asiwaache hawa waliopata nafuu hivi karibuni tu waanguke katika mikono ya watu wasiomcha Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 ili nchi yao waliyokuwa wamerudishiwa isitue tena mikononi mwa watu wa mataifa mengine wenye kumkufuru Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 ili nchi yao waliyokuwa wamerudishiwa isitue tena mikononi mwa watu wa mataifa mengine wenye kumkufuru Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 kama alivyowaokoa wakati mwingine na awaokoe sasa, maana wamo katika hatari ya kunyang'anywa sheria, na nchi yao, na hekalu takatifu; wala asiwaache hawa waliopata nafuu hivi karibuni tu waanguke katika mikono ya watu wasiomcha Mungu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 ili nchi yao waliyokuwa wamerudishiwa isitue tena mikononi mwa watu wa mataifa mengine wenye kumkufuru Mungu. Tazama sura |