Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Lakini Yuda alipopata habari aliwaagiza watu wamsihi Mungu mchana na usiku, ili, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Yuda alipopata kujua hilo, akawaamuru watu wake wamwombe Bwana usiku na mchana, kwa sababu walikuwa katika hatari ya kupoteza sheria yao, nchi yao, na hekalu lao takatifu; walihitaji sana msaada wa Bwana na ulinzi wake Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Yuda alipopata kujua hilo, akawaamuru watu wake wamwombe Bwana usiku na mchana, kwa sababu walikuwa katika hatari ya kupoteza sheria yao, nchi yao, na hekalu lao takatifu; walihitaji sana msaada wa Bwana na ulinzi wake Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Lakini Yuda alipopata habari aliwaagiza watu wamsihi Mungu mchana na usiku, ili, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Yuda alipopata kujua hilo, akawaamuru watu wake wamwombe Bwana usiku na mchana, kwa sababu walikuwa katika hatari ya kupoteza sheria yao, nchi yao, na hekalu lao takatifu; walihitaji sana msaada wa Bwana na ulinzi wake Tazama sura |