Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Katika mwaka wa mia moja arubaini na tisa, Yuda na watu wake walisikia ya kuwa Antioko Eupatori alikuwa akiingia Uyahudi na jeshi kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwaka 149, Yuda Makabayo na wafuasi wake walipata habari kwamba Antioko Eupatori alikuwa anakuja na jeshi kubwa kuikabili Yudea, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwaka 149, Yuda Makabayo na wafuasi wake walipata habari kwamba Antioko Eupatori alikuwa anakuja na jeshi kubwa kuikabili Yudea, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Katika mwaka wa mia moja arobaini na tisa, Yuda na watu wake walisikia ya kuwa Antioko Eupatori alikuwa akiingia Uyahudi na jeshi kubwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Mwaka 149, Yuda Makabayo na wafuasi wake walipata habari kwamba Antioko Eupatori alikuwa anakuja na jeshi kubwa kuikabili Yudea, Tazama sura |