Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 akawashambulia usiku akateketeza bandari yao na vyombo vyao, hata mng'ao wa moto ulionekana Yerusalemu, mbali ya maili thelathini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 akawashambulia watu wa Yamnia usiku, akachoma moto bandari yake na meli zilizokuwa bandarini, hata miali ya moto huo ikaonekana kutoka Yerusalemu, umbali wa kilomita hamsini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 akawashambulia watu wa Yamnia usiku, akachoma moto bandari yake na meli zilizokuwa bandarini, hata miali ya moto huo ikaonekana kutoka Yerusalemu, umbali wa kilomita hamsini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 akawashambulia usiku akateketeza bandari yao na vyombo vyao, hata mng'ao wa moto ulionekana Yerusalemu, mbali ya maili thelathini. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 akawashambulia watu wa Yamnia usiku, akachoma moto bandari yake na meli zilizokuwa bandarini, hata miali ya moto huo ikaonekana kutoka Yerusalemu, umbali wa kilomita hamsini. Tazama sura |