Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Watu wakamfungia milango ya mji, akaondoka, akikusudia kuja tena na kuwaangamiza kabisa watu wa Yafa wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kisha, kwa kuwa milango ya mji ilikuwa imefungwa kabisa, Yuda akaenda zake, akikusudia kurudi Yopa wakati mwingine na kuwafutilia mbali wakazi wake wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kisha, kwa kuwa milango ya mji ilikuwa imefungwa kabisa, Yuda akaenda zake, akikusudia kurudi Yopa wakati mwingine na kuwafutilia mbali wakazi wake wote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Watu wakamfungia milango ya mji, akaondoka, akikusudia kuja tena na kuwaangamiza kabisa watu wa Yafa wote. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Kisha, kwa kuwa milango ya mji ilikuwa imefungwa kabisa, Yuda akaenda zake, akikusudia kurudi Yopa wakati mwingine na kuwafutilia mbali wakazi wake wote. Tazama sura |