Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Akamwomba Mungu, Mwamuzi mwenye haki, akawaendea wale wauaji wa ndugu zake. Usiku akaichoma moto bandari na kuviteketeza vyombo, akaua kwa upanga wale waliojificha huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Baada ya kumwomba Mungu, hakimu mwenye haki, wakawashambulia wauaji hao. Usiku wakaichoma moto bandari na kuunguza meli zote, na kuwaulia mbali wote waliowafuma wamejificha melini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Baada ya kumwomba Mungu, hakimu mwenye haki, wakawashambulia wauaji hao. Usiku wakaichoma moto bandari na kuunguza meli zote, na kuwaulia mbali wote waliowafuma wamejificha melini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Akamwomba Mungu, Mwamuzi mwenye haki, akawaendea wale wauaji wa ndugu zake. Usiku akaichoma moto bandari na kuviteketeza vyombo, akaua kwa upanga wale waliojificha huko. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Baada ya kumwomba Mungu, hakimu mwenye haki, wakawashambulia wauaji hao. Usiku wakaichoma moto bandari na kuunguza meli zote, na kuwaulia mbali wote waliowafuma wamejificha melini. Tazama sura |