Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Yuda aliposikia habari za ukatili huo waliofanyiwa Wayahudi wenzake, aliwakusanya watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mara alipopata habari ya kitendo hicho kikatili walichokuwa wametendwa Wayahudi wenzake, Yuda aliwaarifu watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mara alipopata habari ya kitendo hicho kikatili walichokuwa wametendwa Wayahudi wenzake, Yuda aliwaarifu watu wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Yuda aliposikia habari za ukatili huo waliofanyiwa Wayahudi wenzake, aliwakusanya watu wake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Mara alipopata habari ya kitendo hicho kikatili walichokuwa wametendwa Wayahudi wenzake, Yuda aliwaarifu watu wake. Tazama sura |