Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC45 Lakini kwa kuwa aliufikiri utukufu wa thawabu waliyowekewa wale wafao katika utauwa, wazo lake lilikuwa takatifu na la kicho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Lakini akiwa anatazamia tuzo nzuri waliowekewa waliokufa wakiwa waaminifu kwa Mungu, hilo lilikuwa wazo jema na takatifu. Kwa hiyo Yuda alitolea tambiko ya upatanisho ili watu wapate kuondolewa dhambi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Lakini akiwa anatazamia tuzo nzuri waliowekewa waliokufa wakiwa waaminifu kwa Mungu, hilo lilikuwa wazo jema na takatifu. Kwa hiyo Yuda alitolea tambiko ya upatanisho ili watu wapate kuondolewa dhambi zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI45 Lakini kwa kuwa aliufikiri utukufu wa thawabu waliyowekewa wale wafao katika utauwa, wazo lake lilikuwa takatifu na la kicho. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA45 Lakini akiwa anatazamia tuzo nzuri waliowekewa waliokufa wakiwa waaminifu kwa Mungu, hilo lilikuwa wazo jema na takatifu. Kwa hiyo Yuda alitolea tambiko ya upatanisho ili watu wapate kuondolewa dhambi zao. Tazama sura |