Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Akachanga fedha kwa kila mtu jumla drakma elfu mbili, akazipeleka Yerusalemu kutoa sadaka ya dhambi. Kwa kufanya hivi alitenda vema na kwa haki, kwa kuwa aliukumbuka ufufuo wa wafu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Pia alichangisha kutoka kwa watu wake fedha ipatayo drakma 2,000 akaipeleka Yerusalemu kwa ajili ya tambiko ya kuondoa dhambi. Yuda alifanya tendo hilo jema kwa sababu aliamini juu ya ufufuo wa wafu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Pia alichangisha kutoka kwa watu wake fedha ipatayo drakma 2,000 akaipeleka Yerusalemu kwa ajili ya tambiko ya kuondoa dhambi. Yuda alifanya tendo hilo jema kwa sababu aliamini juu ya ufufuo wa wafu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI43 Akachanga fedha kwa kila mtu jumla drakma elfu mbili, akazipeleka Yerusalemu kutoa sadaka ya dhambi. Kwa kufanya hivi alitenda vema na kwa haki, kwa kuwa aliukumbuka ufufuo wa wafu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA43 Pia alichangisha kutoka kwa watu wake fedha ipatayo drakma 2,000 akaipeleka Yerusalemu kwa ajili ya tambiko ya kuondoa dhambi. Yuda alifanya tendo hilo jema kwa sababu aliamini juu ya ufufuo wa wafu. Tazama sura |