Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 12:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

42 wakajitia katika sala, wakiomba ile dhambi iliyotendwa ifutwe kabisa. Yuda, mtu mwadilifu, akawaonya watu wajitenge na dhambi, madhali wameona kwa macho yao wenyewe matokeo ya ile dhambi ya wale waliokufa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 na wakamwomba Bwana afutilie mbali dhambi hiyo. Kisha, Yuda, yule mtu mwadilifu, akawataka watu waepuke dhambi, kwa sababu walikuwa wamejionea wenyewe yaliyokuwa yamewapata wale waliokuwa wametenda dhambi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 na wakamwomba Bwana afutilie mbali dhambi hiyo. Kisha, Yuda, yule mtu mwadilifu, akawataka watu waepuke dhambi, kwa sababu walikuwa wamejionea wenyewe yaliyokuwa yamewapata wale waliokuwa wametenda dhambi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

42 wakajitia katika sala, wakiomba ile dhambi iliyotendwa ifutwe kabisa. Yuda, mtu mwadilifu, akawaonya watu wajitenge na dhambi, madhali wameona kwa macho yao wenyewe matokeo ya ile dhambi ya wale waliokufa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

42 na wakamwomba Bwana afutilie mbali dhambi hiyo. Kisha, Yuda, yule mtu mwadilifu, akawataka watu waepuke dhambi, kwa sababu walikuwa wamejionea wenyewe yaliyokuwa yamewapata wale waliokuwa wametenda dhambi.

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 12:42
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo