Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Wote wakaona dhahiri sababu ya kuuawa kwao, wakamhimidi BWANA, Mwamuzi mwenye haki, afunuaye yaliyo ya siri, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Hivyo wakazisifu njia za Bwana, hakimu mwenye haki, afichuaye vilivyofichika, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Hivyo wakazisifu njia za Bwana, hakimu mwenye haki, afichuaye vilivyofichika, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Wote wakaona dhahiri sababu ya kuuawa kwao, wakamhimidi BWANA, Mwamuzi mwenye haki, afunuaye yaliyo ya siri, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA41 Hivyo wakazisifu njia za Bwana, hakimu mwenye haki, afichuaye vilivyofichika, Tazama sura |