Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Ndipo walipoona talasimu chini ya nguo za kila mmoja, yaani sanamu ndogo za miungu ya Yamnia, ambazo zilikatazwa kabisa kwa Wayahudi kwa sheria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Lakini katika kila maiti, walikuta zimefichwa nguoni sanamu ndogondogo za miungu iliyoabudiwa Yamnia, jambo ambalo sheria inawakataza Wayahudi kuzivaa. Hapo kila mtu alijua kwa nini hao walikuwa wameuawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Lakini katika kila maiti, walikuta zimefichwa nguoni sanamu ndogondogo za miungu iliyoabudiwa Yamnia, jambo ambalo sheria inawakataza Wayahudi kuzivaa. Hapo kila mtu alijua kwa nini hao walikuwa wameuawa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Ndipo walipoona talasimu chini ya nguo za kila mmoja, yaani sanamu ndogo za miungu ya Yamnia, ambazo zilikatazwa kabisa kwa Wayahudi kwa sheria. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA40 Lakini katika kila maiti, walikuta zimefichwa nguoni sanamu ndogondogo za miungu iliyoabudiwa Yamnia, jambo ambalo sheria inawakataza Wayahudi kuzivaa. Hapo kila mtu alijua kwa nini hao walikuwa wameuawa. Tazama sura |