Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Wayahudi walikubali wakitegemea sheria ya mji; maana walitaka kukaa kwa amani, wala hawakushuku neno lolote. Lakini walipofika kilindini watu wa Yafa walizamisha watu wasiopungua mia mbili na kuwafisha majini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kwa kuwa watu wote wa mji huo walikuwa wameamua kufanya hivyo, Wayahudi hawakutia shaka, wakakubali mwaliko huo kwa moyo ulio radhi. Lakini walipokuwa baharini, watu wa Yopa wakawazamisha majini Wayahudi wasiopungua 200, wote wakafa maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kwa kuwa watu wote wa mji huo walikuwa wameamua kufanya hivyo, Wayahudi hawakutia shaka, wakakubali mwaliko huo kwa moyo ulio radhi. Lakini walipokuwa baharini, watu wa Yopa wakawazamisha majini Wayahudi wasiopungua 200, wote wakafa maji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Wayahudi walikubali wakitegemea sheria ya mji; maana walitaka kukaa kwa amani, wala hawakushuku neno lolote. Lakini walipofika kilindini watu wa Yafa walizamisha watu wasiopungua mia mbili na kuwafisha majini. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Kwa kuwa watu wote wa mji huo walikuwa wameamua kufanya hivyo, Wayahudi hawakutia shaka, wakakubali mwaliko huo kwa moyo ulio radhi. Lakini walipokuwa baharini, watu wa Yopa wakawazamisha majini Wayahudi wasiopungua 200, wote wakafa maji. Tazama sura |