Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Asubuhi yake, askari wa Yuda walikwenda kuziokota maiti (jambo lililowapasa wafanye bila kukawia zaidi) na kuwaleta wazikwe na jamaa zao katika makaburi ya baba zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Siku iliyofuata waliona ni haraka na muhimu kukusanya miili ya wenzao waliokuwa wameuawa vitani, na kuizika katika makaburi ya wazee wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Siku iliyofuata waliona ni haraka na muhimu kukusanya miili ya wenzao waliokuwa wameuawa vitani, na kuizika katika makaburi ya wazee wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI39 Asubuhi yake, askari wa Yuda walikwenda kuziokota maiti (jambo lililowapasa wafanye bila kukawia zaidi) na kuwaleta wazikwe na jamaa zao katika makaburi ya baba zao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA39 Siku iliyofuata waliona ni haraka na muhimu kukusanya miili ya wenzao waliokuwa wameuawa vitani, na kuizika katika makaburi ya wazee wao. Tazama sura |