Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 12:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

38 Baada ya hayo Yuda akaondoka na jeshi lake akaenda mji wa Abdulamu, wakajitakasa kama kawaida kwa kuwa siku ya saba ilikuwa karibu; wakaishika Sabato pale.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Kisha Yuda aliwaongoza watu wake kwenda mjini Adulamu. Hiyo ilikuwa siku kabla ya Sabato, kwa hiyo wakajitakasa kadiri ya desturi ya Kiyahudi, kisha wakaadhimisha Sabato hapo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Kisha Yuda aliwaongoza watu wake kwenda mjini Adulamu. Hiyo ilikuwa siku kabla ya Sabato, kwa hiyo wakajitakasa kadiri ya desturi ya Kiyahudi, kisha wakaadhimisha Sabato hapo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

38 Baada ya hayo Yuda akaondoka na jeshi lake akaenda mji wa Abdulamu, wakajitakasa kama kawaida kwa kuwa siku ya saba ilikuwa karibu; wakaishika Sabato pale.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

38 Kisha Yuda aliwaongoza watu wake kwenda mjini Adulamu. Hiyo ilikuwa siku kabla ya Sabato, kwa hiyo wakajitakasa kadiri ya desturi ya Kiyahudi, kisha wakaadhimisha Sabato hapo.

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 12:38
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo