Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Ndipo alipaza mlio wa vita na nyimbo, kwa lugha yao wenyewe, akawashambulia askari za Gorgia kwa ghafla akawakimbiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Ndipo, Yuda alipokuwa anapiga mbiu ya vita na kuimba utenzi kwa lugha yake ya wazee wake, Wayahudi wakawashambulia ghafla Gorgia na watu wake; maadui wakakimbia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Ndipo, Yuda alipokuwa anapiga mbiu ya vita na kuimba utenzi kwa lugha yake ya wazee wake, Wayahudi wakawashambulia ghafla Gorgia na watu wake; maadui wakakimbia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Ndipo alipaza mlio wa vita na nyimbo, kwa lugha yao wenyewe, akawashambulia askari za Gorgia kwa ghafla akawakimbiza. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA37 Ndipo, Yuda alipokuwa anapiga mbiu ya vita na kuimba utenzi kwa lugha yake ya wazee wake, Wayahudi wakawashambulia ghafla Gorgia na watu wake; maadui wakakimbia. Tazama sura |