Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Ezri na watu wake walipoanza kuchoka kwa vita virefu, Yuda alimwita BWANA ajioneshe kuwa yu msaidizi wao na kiongozi wao katika mapigano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Wakati huo Wayahudi waliokuwa chini ya kamanda Esdri walikuwa wamepiga vita kwa muda mrefu, wakawa wamechoka. Basi, Yuda akasali ili Bwana aoneshe kwamba alikuwa upande wao, na kwamba anaongoza vikosi vyao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Wakati huo Wayahudi waliokuwa chini ya kamanda Esdri walikuwa wamepiga vita kwa muda mrefu, wakawa wamechoka. Basi, Yuda akasali ili Bwana aoneshe kwamba alikuwa upande wao, na kwamba anaongoza vikosi vyao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Ezri na watu wake walipoanza kuchoka kwa vita virefu, Yuda alimwita BWANA ajionyeshe kuwa yu msaidizi wao na kiongozi wao katika mapigano. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA36 Wakati huo Wayahudi waliokuwa chini ya kamanda Esdri walikuwa wamepiga vita kwa muda mrefu, wakawa wamechoka. Basi, Yuda akasali ili Bwana aoneshe kwamba alikuwa upande wao, na kwamba anaongoza vikosi vyao. Tazama sura |