Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Lakini Dositheo, mmoja wa Watobu, mpanda farasi hodari sana, alimshika Gorgia, akalikamata vazi lake na kumkokota kwa nguvu, akitaka kumtwaa huyu mlaaniwa yu hai. Lakini mpanda farasi mmoja wa Thraka alimjia kwa nguvu akamtia jeraha begani, na hivyo Gorgia aliokoka akakimbilia Marisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Lakini Myahudi mmoja kutoka mji wa Tobu, mpandafarasi mwenye nguvu, aliyeitwa Dositheo, alimshika Gorgia kwa kulikamata vazi lake, akaanza kumkokota kwa nguvu, akiwa na lengo la kumteka nyara huyo mlaanifu. Lakini, ghafla, mmoja wa wapandafarasi wa Thrakia akamwendea mbio Dositheo na kumkata mkono wake; kwa hiyo Gorgia akafaulu kutoroka na kwenda zake mjini Marisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Lakini Myahudi mmoja kutoka mji wa Tobu, mpandafarasi mwenye nguvu, aliyeitwa Dositheo, alimshika Gorgia kwa kulikamata vazi lake, akaanza kumkokota kwa nguvu, akiwa na lengo la kumteka nyara huyo mlaanifu. Lakini, ghafla, mmoja wa wapandafarasi wa Thrakia akamwendea mbio Dositheo na kumkata mkono wake; kwa hiyo Gorgia akafaulu kutoroka na kwenda zake mjini Marisa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Lakini Dositheo, mmoja wa Watobu, mpanda farasi hodari sana, alimshika Gorgia, akalikamata vazi lake na kumkokota kwa nguvu, akitaka kumtwaa huyu mlaaniwa yu hai. Lakini mpanda farasi mmoja wa Thraka alimjia kwa nguvu akamtia jeraha begani, na hivyo Gorgia aliokoka akakimbilia Marisa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA35 Lakini Myahudi mmoja kutoka mji wa Tobu, mpandafarasi mwenye nguvu, aliyeitwa Dositheo, alimshika Gorgia kwa kulikamata vazi lake, akaanza kumkokota kwa nguvu, akiwa na lengo la kumteka nyara huyo mlaanifu. Lakini, ghafla, mmoja wa wapandafarasi wa Thrakia akamwendea mbio Dositheo na kumkata mkono wake; kwa hiyo Gorgia akafaulu kutoroka na kwenda zake mjini Marisa. Tazama sura |