Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 kwa hiyo waliwashukuru tu, wakawasihi waendelee kuliangalia taifa lao kwa wema hata wakati ujao. Ndipo wakaenda Yerusalemu kwa kuwa Idi ya Majuma ilikuwa karibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Basi, Yuda na watu wake wakawashukuru wenyeji hao na kuwahimiza waendelee kuwaonesha nia njema Wayahudi siku za mbele. Kisha wakaondoka na kwenda zao Yerusalemu, ambako waliwasili muda mfupi tu kabla ya sikukuu ya mavuno. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Basi, Yuda na watu wake wakawashukuru wenyeji hao na kuwahimiza waendelee kuwaonesha nia njema Wayahudi siku za mbele. Kisha wakaondoka na kwenda zao Yerusalemu, ambako waliwasili muda mfupi tu kabla ya sikukuu ya mavuno. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 kwa hiyo waliwashukuru tu, wakawasihi waendelee kuliangalia taifa lao kwa wema hata wakati ujao. Ndipo wakaenda Yerusalemu kwa kuwa Idi ya Majuma ilikuwa karibu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA31 Basi, Yuda na watu wake wakawashukuru wenyeji hao na kuwahimiza waendelee kuwaonesha nia njema Wayahudi siku za mbele. Kisha wakaondoka na kwenda zao Yerusalemu, ambako waliwasili muda mfupi tu kabla ya sikukuu ya mavuno. Tazama sura |