Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 12:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Lakini Wayahudi waliokaa huko waliishuhudia nia njema ya Waskithapoli, na hisani yao wakati wa shida;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Wayahudi waliokuwa huko walimweleza Yuda jinsi wakazi wa mji huo walivyowafanyia hisani, hasa wakati wa shida.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Wayahudi waliokuwa huko walimweleza Yuda jinsi wakazi wa mji huo walivyowafanyia hisani, hasa wakati wa shida.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

30 Lakini Wayahudi waliokaa huko waliishuhudia nia njema ya Waskithapoli, na hisani yao wakati wa shida;

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

30 Wayahudi waliokuwa huko walimweleza Yuda jinsi wakazi wa mji huo walivyowafanyia hisani, hasa wakati wa shida.

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 12:30
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo