Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Watu wa Yafa walitenda jambo baya kabisa. Waliwaalika Wayahudi waliokaa nao mjini, pamoja na wake zao na watoto wao, waingie katika mashua walizoziweka tayari, kana kwamba hawana nia mbaya yoyote kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nao watu wa Yopa walitenda jambo baya sana kwa Wayahudi wa mji wao. Walijifanya kuwa marafiki wa Wayahudi, wakawaalika pamoja na jamaa zao kwenda nao kwenye meli zao ili wasafiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nao watu wa Yopa walitenda jambo baya sana kwa Wayahudi wa mji wao. Walijifanya kuwa marafiki wa Wayahudi, wakawaalika pamoja na jamaa zao kwenda nao kwenye meli zao ili wasafiri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Watu wa Yafa walitenda jambo baya kabisa. Waliwaalika Wayahudi waliokaa nao mjini, pamoja na wake zao na watoto wao, waingie katika mashua walizoziweka tayari, kana kwamba hawana nia mbaya yoyote kwao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Nao watu wa Yopa walitenda jambo baya sana kwa Wayahudi wa mji wao. Walijifanya kuwa marafiki wa Wayahudi, wakawaalika pamoja na jamaa zao kwenda nao kwenye meli zao ili wasafiri. Tazama sura |