Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Kutoka huko wakaenda Skithapoli kwa haraka, mwendo wa maili sabini na tano kutoka Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kutoka hapo wakaenda kwa haraka Skithopoli, mji uliopo kilomita 120 kaskazini ya Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kutoka hapo wakaenda kwa haraka Skithopoli, mji uliopo kilomita 120 kaskazini ya Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Kutoka huko wakaenda Skithapoli kwa haraka, mwendo wa maili sabini na tano kutoka Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA29 Kutoka hapo wakaenda kwa haraka Skithopoli, mji uliopo kilomita 120 kaskazini ya Yerusalemu. Tazama sura |