Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Lakini Wayahudi walimwomba Mfalme ambaye avunja nguvu ya adui kwa uweza wake, wakautwaa mji, wakaangamiza watu elfu ishirini na tano katika wale waliokuwamo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Lakini Wayahudi wakasali kuomba msaada kwa Bwana, avunjaye nguvu za adui. Hivyo wakauteka mji huo na kuwaua watu wapatao 25,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Lakini Wayahudi wakasali kuomba msaada kwa Bwana, avunjaye nguvu za adui. Hivyo wakauteka mji huo na kuwaua watu wapatao 25,000. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Lakini Wayahudi walimwomba Mfalme ambaye avunja nguvu ya adui kwa uweza wake, wakautwaa mji, wakaangamiza watu elfu ishirini na tano katika wale waliokuwamo. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA28 Lakini Wayahudi wakasali kuomba msaada kwa Bwana, avunjaye nguvu za adui. Hivyo wakauteka mji huo na kuwaua watu wapatao 25,000. Tazama sura |