Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Na baada ya maangamizi hayo na uuaji aliuendea Efroni, mji wenye boma, alipokaa Lisia na watu wengi wa mataifa mbali mbali. Vijana wenye nguvu waliopangwa ukutani wakawazuia kwa juhudi, na ndani mlikuwa na akiba kubwa ya mitambo na silaha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Halafu, baada ya maangamizi hayo, akaushambulia pia mji wa Efroni wenye boma, makao ya Lisia na watu kutoka mataifa yote. Vijana wenye nguvu wakajipanga mbele ya kuta, wakapiga vita kwa ujasiri. Na ndani ya mji mlikuwa na akiba kubwa ya zana za vita na silaha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Halafu, baada ya maangamizi hayo, akaushambulia pia mji wa Efroni wenye boma, makao ya Lisia na watu kutoka mataifa yote. Vijana wenye nguvu wakajipanga mbele ya kuta, wakapiga vita kwa ujasiri. Na ndani ya mji mlikuwa na akiba kubwa ya zana za vita na silaha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Na baada ya maangamizi hayo na uuaji aliuendea Efroni, mji wenye boma, alipokaa Lisia na watu wengi wa mataifa mbali mbali. Vijana wenye nguvu waliopangwa ukutani wakawazuia kwa juhudi, na ndani mlikuwa na akiba kubwa ya mitambo na silaha. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA27 Halafu, baada ya maangamizi hayo, akaushambulia pia mji wa Efroni wenye boma, makao ya Lisia na watu kutoka mataifa yote. Vijana wenye nguvu wakajipanga mbele ya kuta, wakapiga vita kwa ujasiri. Na ndani ya mji mlikuwa na akiba kubwa ya zana za vita na silaha. Tazama sura |