Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Kisha Yuda alishambulia Karnaimu na hekalu la Atergati, akaua watu elfu ishirini na tano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Kisha Yuda alishambulia mji wa Karnaimu na hekalu la Atargati mungu wa kike, akawaua watu 25,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Kisha Yuda alishambulia mji wa Karnaimu na hekalu la Atargati mungu wa kike, akawaua watu 25,000. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Kisha Yuda alishambulia Karnaimu na hekalu la Atergati, akaua watu elfu ishirini na tano. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA26 Kisha Yuda alishambulia mji wa Karnaimu na hekalu la Atargati mungu wa kike, akawaua watu 25,000. Tazama sura |