Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Basi, akiisha kuapa kwa maneno mengi kwamba atawaacha hao waende zao salama, walimweka huru ili kuwaokoa ndugu zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Hatimaye, baada ya kuahidi kuwarudisha makwao hao jamaa za askari, Timotheo aliachiwa huru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Hatimaye, baada ya kuahidi kuwarudisha makwao hao jamaa za askari, Timotheo aliachiwa huru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Basi, akiisha kuapa kwa maneno mengi kwamba atawaacha hao waende zao salama, walimweka huru ili kuwaokoa ndugu zao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA25 Hatimaye, baada ya kuahidi kuwarudisha makwao hao jamaa za askari, Timotheo aliachiwa huru. Tazama sura |