Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Timotheo mwenyewe alikutwa na vikosi vya Dositheo na Sosipatro. Akawabembeleza kwa ujanja mwingi wamwache aende zake, akisema kwamba wazazi wa wengi wao, na ndugu za wengine, wamo mikononi mwake, na kama yeye haachiliwi wao hawatahurumiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Timotheo mwenyewe alikamatwa na askari wa Dositheo na Sosipateri. Lakini alikuwa mwerevu sana. Alifaulu kuwasadikisha kwamba jamaa zao wengi walikuwa wafungwa wake, na kwamba wangeuawa kama yeye asingeachiliwa aende zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Timotheo mwenyewe alikamatwa na askari wa Dositheo na Sosipateri. Lakini alikuwa mwerevu sana. Alifaulu kuwasadikisha kwamba jamaa zao wengi walikuwa wafungwa wake, na kwamba wangeuawa kama yeye asingeachiliwa aende zake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Timotheo mwenyewe alikutwa na vikosi vya Dositheo na Sosipatro. Akawabembeleza kwa ujanja mwingi wamwache aende zake, akisema kwamba wazazi wa wengi wao, na ndugu za wengine, wamo mikononi mwake, na kama yeye haachiliwi wao hawatahurumiwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA24 Timotheo mwenyewe alikamatwa na askari wa Dositheo na Sosipateri. Lakini alikuwa mwerevu sana. Alifaulu kuwasadikisha kwamba jamaa zao wengi walikuwa wafungwa wake, na kwamba wangeuawa kama yeye asingeachiliwa aende zake. Tazama sura |