Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Yuda akawafuatia hima, akawaua wale wabaya kwa upanga na kuangamiza watu wapatao elfu thelathini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hapo Yuda na watu wake wakawafukuza maadui kwa kasi, wakawaua askari wapatao 30,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hapo Yuda na watu wake wakawafukuza maadui kwa kasi, wakawaua askari wapatao 30,000. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Yuda akawafuatia hima, akawaua wale wabaya kwa upanga na kuangamiza watu wapatao elfu thelathini. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA23 Hapo Yuda na watu wake wakawafukuza maadui kwa kasi, wakawaua askari wapatao 30,000. Tazama sura |