Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Lakini kikosi cha kwanza cha Yuda kilipotokea, adui walishikwa na woga mkubwa kwa sababu ya kutokewa na maono ya Yule mwenye kuona yote, wakakimbiana kasi huku na huko, hata mara nyingi waliumizana na kuchomana kwa panga zao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Lakini kikosi cha kwanza cha Yuda kilipotokeza tu, askari maadui wakashikwa na woga mkubwa kutokana na maono yaliyoletwa na Mungu, aonaye kila kitu. Katika hofu hiyo, walianza kukimbia ovyo huko na huko, na wengi wao wakajeruhiwa kwa mapanga ya wenzao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Lakini kikosi cha kwanza cha Yuda kilipotokeza tu, askari maadui wakashikwa na woga mkubwa kutokana na maono yaliyoletwa na Mungu, aonaye kila kitu. Katika hofu hiyo, walianza kukimbia ovyo huko na huko, na wengi wao wakajeruhiwa kwa mapanga ya wenzao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Lakini kikosi cha kwanza cha Yuda kilipotokea, adui walishikwa na woga mkubwa kwa sababu ya kutokewa na maono ya Yule mwenye kuona yote, wakakimbiana kasi huku na huko, hata mara nyingi waliumizana na kuchomana kwa panga zao wenyewe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA22 Lakini kikosi cha kwanza cha Yuda kilipotokeza tu, askari maadui wakashikwa na woga mkubwa kutokana na maono yaliyoletwa na Mungu, aonaye kila kitu. Katika hofu hiyo, walianza kukimbia ovyo huko na huko, na wengi wao wakajeruhiwa kwa mapanga ya wenzao. Tazama sura |