Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Timotheo alipopata habari za kuja kwake Yuda, aliwaondoa wanawake na watoto, pamoja na mizigo, akawapeleka mbele kwenye mahali paitwapo Karnaimu, ngome iliyokuwa ngumu ya kuhusuriwa au kukaribiwa kwa sababu njia za kuiendea pande zote zilikuwa nyembamba sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Timotheo alipogundua kwamba Yuda alikuwa anamwandama, aliwatanguliza wanawake na watoto pamoja na mizigo, waende Karnaimu, mji ambao ulikuwa karibu hauwezekani kuuzingira au hata kuufikia, kwa sababu vinjia vya kuendea huko vilikuwa vyembamba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Timotheo alipogundua kwamba Yuda alikuwa anamwandama, aliwatanguliza wanawake na watoto pamoja na mizigo, waende Karnaimu, mji ambao ulikuwa karibu hauwezekani kuuzingira au hata kuufikia, kwa sababu vinjia vya kuendea huko vilikuwa vyembamba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Timotheo alipopata habari za kuja kwake Yuda, aliwaondoa wanawake na watoto, pamoja na mizigo, akawapeleka mbele mahali paitwapo Karnaimu, ngome iliyokuwa ngumu ya kuhusuriwa au kukaribiwa kwa sababu njia za kuiendea pande zote zilikuwa nyembamba sana. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA21 Timotheo alipogundua kwamba Yuda alikuwa anamwandama, aliwatanguliza wanawake na watoto pamoja na mizigo, waende Karnaimu, mji ambao ulikuwa karibu hauwezekani kuuzingira au hata kuufikia, kwa sababu vinjia vya kuendea huko vilikuwa vyembamba. Tazama sura |