Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Makabayo naye alipanga jeshi lake vikosi vikosi, akaweka mkuu juu ya kila kikosi, akaenda mbio kumfuatia Timotheo, ambaye alikuwa na askari elfu mia moja na ishirini na wapanda farasi elfu mbili na mia tano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Halafu Yuda Makabayo akaligawa jeshi lake katika vikosi kadha, akawaweka Dositheo na Sosipateri waongoze kila mmoja kikosi chake, akaondoka mbio kumwandama Timotheo, aliyekuwa na askari wa miguu 120,000, na wapandafarasi 2,500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Halafu Yuda Makabayo akaligawa jeshi lake katika vikosi kadha, akawaweka Dositheo na Sosipateri waongoze kila mmoja kikosi chake, akaondoka mbio kumwandama Timotheo, aliyekuwa na askari wa miguu 120,000, na wapandafarasi 2,500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Makabayo naye alipanga jeshi lake vikosi vikosi, akaweka mkuu juu ya kila kikosi, akaenda mbio kumfuatia Timotheo, ambaye alikuwa na askari elfu mia moja na ishirini na wapanda farasi elfu mbili na mia tano. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA20 Halafu Yuda Makabayo akaligawa jeshi lake katika vikosi kadha, akawaweka Dositheo na Sosipateri waongoze kila mmoja kikosi chake, akaondoka mbio kumwandama Timotheo, aliyekuwa na askari wa miguu 120,000, na wapandafarasi 2,500. Tazama sura |