Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Dositheo na Sosipatro, majemadari wa Makabayo, wakaenda huko wakawaua wale walioachwa na Timotheo ngomeni, zaidi ya elfu kumi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Makapteni wawili wa Yuda Makabayo, Dositheo na Sosipateri, wakaishambulia ngome hiyo na kuwaua wote walioachwa humo na Timotheo, watu 10,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Makapteni wawili wa Yuda Makabayo, Dositheo na Sosipateri, wakaishambulia ngome hiyo na kuwaua wote walioachwa humo na Timotheo, watu 10,000. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Dositheo na Sosipatro, majemadari wa Makabayo, wakaenda huko wakawaua wale walioachwa na Timotheo ngomeni, zaidi ya elfu kumi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA19 Makapteni wawili wa Yuda Makabayo, Dositheo na Sosipateri, wakaishambulia ngome hiyo na kuwaua wote walioachwa humo na Timotheo, watu 10,000. Tazama sura |