Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Hawakumkuta Timotheo huko; alikuwa ameondoka bila kufanya kitu, akiacha kikosi kikubwa cha askari katika ngome fulani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini hawakumkuta Timotheo hapo, kwa vile alikuwa amekwisha ondoka sehemu hizo. Hakuwa amefanya lolote hapo, isipokuwa kuacha kikosi hodari katika ngome fulani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini hawakumkuta Timotheo hapo, kwa vile alikuwa amekwisha ondoka sehemu hizo. Hakuwa amefanya lolote hapo, isipokuwa kuacha kikosi hodari katika ngome fulani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Hawakumkuta Timotheo huko; alikuwa ameondoka bila kufanya kitu, akiacha kikosi kikubwa cha askari katika ngome fulani. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA18 Lakini hawakumkuta Timotheo hapo, kwa vile alikuwa amekwisha ondoka sehemu hizo. Hakuwa amefanya lolote hapo, isipokuwa kuacha kikosi hodari katika ngome fulani. Tazama sura |