Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Wakaendelea mbele kiasi cha maili tisini, wakafika Karaka, walipokaa Wayahudi waitwao Watobu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kutoka mji wa Kaspini, Yuda na watu wake walisafiri umbali wa kilomita 150 hivi, wakawasili kwenye makazi ya Wayahudi ya Karaksi, karibu na mji wa Tobu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kutoka mji wa Kaspini, Yuda na watu wake walisafiri umbali wa kilomita 150 hivi, wakawasili kwenye makazi ya Wayahudi ya Karaksi, karibu na mji wa Tobu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Wakaendelea mbele kiasi cha maili tisini, wakafika Karaka, walipokaa Wayahudi waitwao Watobu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA17 Kutoka mji wa Kaspini, Yuda na watu wake walisafiri umbali wa kilomita 150 hivi, wakawasili kwenye makazi ya Wayahudi ya Karaksi, karibu na mji wa Tobu. Tazama sura |