Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Wakazishambulia kuta kwa ukali, wakautwaa mji kwa mapenzi ya Mungu. Wakaua watu wengi wasio hesabika, hata ziwa lililokuwapo karibu, lenye upana wa robo maili, lilionekana limejaa kwa wingi wa damu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 na kwa sababu Mungu alitaka, wakauteka mji. Wayahudi waliwaua watu wengi hivi hata ziwa la karibu, ambalo lilikuwa na upana upatao robo kilomita, likaonekana linafurika damu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 na kwa sababu Mungu alitaka, wakauteka mji. Wayahudi waliwaua watu wengi hivi hata ziwa la karibu, ambalo lilikuwa na upana upatao robo kilomita, likaonekana linafurika damu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Wakazishambulia kuta kwa ukali, wakautwaa mji kwa mapenzi ya Mungu. Wakaua watu wengi wasio hesabika, hata ziwa lililokuwapo karibu, lenye upana wa robo maili, lilionekana limejaa kwa wingi wa damu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 na kwa sababu Mungu alitaka, wakauteka mji. Wayahudi waliwaua watu wengi hivi hata ziwa la karibu, ambalo lilikuwa na upana upatao robo kilomita, likaonekana linafurika damu. Tazama sura |