Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Lakini Yuda na watu wake walimwomba Mfalme mkuu wa ulimwengu, yule ambaye aliuangusha mji wa Yeriko zamani za Yoshua bila mitambo ya kubomolea au silaha nyinginezo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Lakini Wayahudi wakasali kwa Mwenyezi-Mungu, Bwana wa ulimwengu, ambaye alikuwa ameziporomosha kuta za Yeriko wakati wa Yoshua bila ya kutumia mitambo ya kubomolea au silaha nyinginezo. Kisha wakaushambulia kwa nguvu huo ukuta, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Lakini Wayahudi wakasali kwa Mwenyezi-Mungu, Bwana wa ulimwengu, ambaye alikuwa ameziporomosha kuta za Yeriko wakati wa Yoshua bila ya kutumia mitambo ya kubomolea au silaha nyinginezo. Kisha wakaushambulia kwa nguvu huo ukuta, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Lakini Yuda na watu wake walimwomba Mfalme mkuu wa ulimwengu, yule ambaye aliuangusha mji wa Yeriko zamani za Yoshua bila mitambo ya kubomolea au silaha nyinginezo. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Lakini Wayahudi wakasali kwa Mwenyezi-Mungu, Bwana wa ulimwengu, ambaye alikuwa ameziporomosha kuta za Yeriko wakati wa Yoshua bila ya kutumia mitambo ya kubomolea au silaha nyinginezo. Kisha wakaushambulia kwa nguvu huo ukuta, Tazama sura |