Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 12:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Wenyeji wake, wakizitegemea kuta zao imara na akiba yao kubwa ya chakula, waliwadhihaki Yuda na watu wake, wakikufuru na kulaumu vibaya sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Wakazi wa huko walitegemea uimara wa kuta zao, na walikuwa na imani kwamba chakula walichokuwa wameweka akiba kingewatosha kwa muda wote wa kuzingirwa. Kwa hiyo wakaifanyia Yuda na watu wake dhihaka na hata kumkufuru Mungu na kutoa matusi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Wakazi wa huko walitegemea uimara wa kuta zao, na walikuwa na imani kwamba chakula walichokuwa wameweka akiba kingewatosha kwa muda wote wa kuzingirwa. Kwa hiyo wakaifanyia Yuda na watu wake dhihaka na hata kumkufuru Mungu na kutoa matusi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Wenyeji wake, wakizitegemea kuta zao imara na akiba yao kubwa ya chakula, waliwadhihaki Yuda na watu wake, wakikufuru na kulaumu vibaya sana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

14 Wakazi wa huko walitegemea uimara wa kuta zao, na walikuwa na imani kwamba chakula walichokuwa wameweka akiba kingewatosha kwa muda wote wa kuzingirwa. Kwa hiyo wakaifanyia Yuda na watu wake dhihaka na hata kumkufuru Mungu na kutoa matusi.

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 12:14
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo