Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 12:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Alishambulia mji mwingine pia, uliozungukwa maboma na kuta, walimokaa watu wa mataifa mbalimbali, jina lake Kaspini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Yuda pia aliushambulia mji wa Kaspini, uliokuwa umezungushiwa maboma na kuta. Wenyeji waliokaa humo mjini walikuwa mchanganyiko wa watu wa mataifa mengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Yuda pia aliushambulia mji wa Kaspini, uliokuwa umezungushiwa maboma na kuta. Wenyeji waliokaa humo mjini walikuwa mchanganyiko wa watu wa mataifa mengine. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Alishambulia mji mwingine pia, uliozungukwa maboma na kuta, walimokaa watu wa mataifa mbalimbali, jina lake Kaspini. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Yuda pia aliushambulia mji wa Kaspini, uliokuwa umezungushiwa maboma na kuta. Wenyeji waliokaa humo mjini walikuwa mchanganyiko wa watu wa mataifa mengine. Tazama sura |